- introduction
- picture
- Boutique
- Related
Developer's DescriptionBy Robert LondoApp hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini, unaweza kusoma na kusikiliza ala (audio) za nyimbo za injili bila kuwa na intaneti (Offline)Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.Wakolosai 3:16FEATURESTenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.Ala za tenzi bila intaneti (Offline)Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.Tafuta neno lolote kwenye tenzi zoteUnaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazoKuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpyaKuchagua aina ya fonti za ayaKupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti